Kisemelai

Kisemelai ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Malaysia inayozungumzwa na Wasemelai. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kisemelai imehesabiwa kuwa watu 4100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisemelai iko katika kundi la Kiaslian.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search